Gharama
Gharama za program ya Pangisha zinaenda sambamba na idadi ya nyumba zinazopangishwa. Tafadhali tazama jedwali la chini kwa ufahamu zaidi.
Gharama
Fahamu Gharama zetu
Gharama zetu zinaanzia 10,000/= Tshs kwa mwezi na zinategemea idadi ya nyumba unazozisimamia. Chagua mpango unaokufaa — bila mkataba wa muda mrefu.
Una usajili tayari? Hakuna mabadiliko ya ghafla — utaendelea kwenye bei yako ya sasa hadi usajili uishe. Bei mpya zitaanza wakati wa renewal.
Starter
10,000/= Tshs/mwezi
Unit 1 – 10 · bei flat
- Unit 1 – 10
- SMS 100 kwa miezi 6 – 12
- Viambatisho hadi 5MB
- Bei flat (haibadiliki)
Unit 1 inahesabika kwa mpangaji mmoja (1).
Pro
1,000/= × unit
Unit 11 na zaidi · mfano: 25 × 1,000 = 25,000/=
- Unit 11 na zaidi
- SMS kulingana na idadi
- Viambatisho 10MB na zaidi
- Bei inakua sambamba na biashara
Unit 1 inahesabika kwa mpangaji mmoja (1).
Wateja wakubwa (Unit 100+) wanaweza kupata punguzo — wasiliana nasi.